Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maarifa awapa maua yao Prof Jay na Alikiba

Maarifa Mnn.jpeg Msanii Maarifa

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Hip hop Maarifa amemwaga maua kwa Alikiba na Professor Jay akidaikwamba niwasanii anaoeshimu sana uwepo wao nakuna namna anatamani kuwa kama wao kutokana na uwezo wao wakimuziki namafanikio yakifedha pia ambapo amegusia swala la Alikiba kumiliki Redio na TV "Crown Media".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live