Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maamuzi ya Zari yanavyodaiwa kumtesa Diamond Platnumz

3443 Screen Shot 2018 02 16 At 11.04.18 PM 660x359.png TZW

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 16,2018 Diamond Platnumz ameonekana kuonyesha hisia zake juu ya maamuzi  ya Zari kuachana nae, kupitia instagram account yake Diamond amekuwa akipost video clips mbalimbali za nyimbo za mapenzi.



Kupitia instagram ya Diamond Platnumz amepost kipande cha wimbo wake wa Sikomi na kuandika

Unajua Nyimbo zingine Unaziimba ila Hata we mwenyewe zinakuingia Baadae

Chanzo: millardayo.com