Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Maajabu ya samaki anayetema 'risasi'

National Geographic Archer Maajabu ya samaki anayetema 'risasi'

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Samaki kwa jina archer, huwinda wadudu na viumbe wengine wadogo kwa kutema maji kutoka kwa midomo yao kama risasi.

Samaki hao, huvizia wadudu wanapokuwa wametulia kwenye mashina ya miti na majani ya miti karibu na maji.

Hulenga mdudu huyu kwa kuchiririza maji hayo bila kukosea shabaha. Wadudu wanapoanguka juu ya maji kutokana na shambulio hilo, samaki huwanasa na kuwala.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live