Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

SIL

Maajabu ya mtu aliyenyosha mkono kwa miaka 50

Amar Bharati Amar Bharati.

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni ndivyo unavyoweza kusema kwani siyo rahisi kwa binadamu kunyanyua mkono wake kwa miaka takribani 50.

Nchini India mwanaume aliyefahamika kwa jina la Amar Bharati, ameinua mkono wake wa kulia juu kwa miaka 50 na hii kwakwe ni heshima kwa Mungu wa Kihindu Shiva, ikiwa kama ishara ya kujitolea kwake na wito wa amani duniani kote.

Kitendo hiki cha ajabu cha kujitolea kuinua mkono wake wa kulia kwa miaka 50 kimemfanya kuwa mtu maarufu duniani kote.

Mkono wa Bharati umedhoofika na kupoteza hisia zote ndani yake, lakini bado ameazimia kutimiza nadhiri aliyojiwekewa kuwa hadi ulimwengu utakapokuwa na amani na yeye ataushuka mkono huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live