Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maajabu ya 20 kwa Lady Jay Dee

JIDE Maajabu ya 20 kwa Lady Jay Dee

Fri, 10 Jul 2020 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muda mrefu kwenye kiwanda cha BongoFleva Lady Jay Dee, ameitaja namba 20 kama ndiyo namba yake ya bahati, kwani anatarajia kuachia Album yake ya nane na jina la Album hiyo itaitwa 20.

Maajabu ya Album hiyo kuitwa jina la 20 ni kutokana na yeye kukaa kwenye game kwa miaka 20 tangu mwaka 2000, pia ndani ya Album hiyo kutakuwa na jumla ya nyimbo 20.

Akifafanua hilo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter Lady Jay Dee ameeleza kuwa "Album yangu ya nane itaitwa 20, hii ni kutokana na kwamba itatoka mwaka huu 2020 ambapo naadhimisha miaka 20 kwenye kiwanda cha muziki, pia Album hii itakua na jumla ya nyimbo 20".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live