Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Maajabu! Hawa ndio Wanandoa wenye Tattoo nyingi katika miili yao

Body Mods 166 Maajabu! Hawa ndio Wanandoa wenye Tattoo nyingi katika miili yao

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachora tattoo maarufu nchini Marekani Victor Hugo Peralta na mkewe Gabriela Peralta maarufu kama “cherubs of hell” wameendelea kushika rekodi ya wanandoa wenye tattoo nyingi zaidi tangu mwaka 2012 hadi sasa.

Kwa mujibu wa Guinness World Records kupitia mitandao yao ya kijamii imeeleza kuwa wanandoa hao wana tattoo 91 kwenye miili yao ambapo Victor ana tattoo 41 na kwa upande wa mkewe ana tattoo 50.

Victor alijichora tattoo yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 11, huku nyingine alianza kuzichora baada ya kuoana na Gabriela mwaka 2009.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live