Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Maajabu! Bibi wa miaka 70 ajifungua mapacha

Safina Bibi.jpeg Maajabu! Bibi wa miaka 70 ajifungua mapacha

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Safina Namukwaya, mwanamke mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Wilaya ya Masaka, amewashangaza watu wengi baada ya kujifungua watoto mapacha katika hospitali moja huko nchini Uganda.

Safina Namukwaya, mwanamke mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Wilaya ya Masaka, amewashangaza watu wengi baada ya kujifungua watoto mapacha katika hospitali moja huko nchini Uganda. Bi Safina amejifungua mvulana na msichana mmoja akiwa na uzito wa kilo 1.7 kila mmoja katika Kituo cha Kimataifa cha Upandikizaji, cha Hospitali ya Wanawake mjini Kampala, ambako alikuwa amekaa kwa siku tano kwa maandalizi ya kujifungua katika chumba cha faragha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live