Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MWANA FA: RAIS MAGUFULI KANAMBIA NIENDELEE KUIMBA

Capture 524?fit=596%2C396 MWANA FA: RAIS MAGUFULI KANAMBIA NIENDELEE KUIMBA

Fri, 4 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mkongwe wa muziki wa rap nchini Tanzania Mwanafa amesema kuwa licha ya kupata Ubunge wa Jimbo la Muheza, bado ataendelea kusikika kwenye muziki.

FA amesema Rais Joh Magufuli amemwambia aendelee kutoa nyimbo.

“Kijana wa Magufuli Baba yangu ameniambia kwamba unatakiwa uendelee kuimba. Unakumbuka kuna picha tumeenda Ikulu wakati Waziri Mkuu anaapishwa (kama amenishika bega) ndio alichokuwa ananiambia, eeh bwana uendelee kutoa nyimbo, ” amesema FA

“Kwa hiyo uachi muziki, muziki unakuacha, kama una vitu vya kusema, tutaendelea kusema hapa na pale,” aliongeza FA

Chanzo: zanzibar24.co.tz