Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MTV kumtunuku Shakira Tuzo ya Michael Jackson

Shakiraaaaaaa Shakira

Tue, 29 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Shakira atatunukiwa Tuzo ya heshima maarufu kama ‘Michael Jackson Video Vanguard Award’ au Lifetime Achievement kwenye Tuzo za (MTV Video Music Awards) mwaka huu ambazo zitatolewa Septemba 13.

Tuzo hiyo iliyoanzishwa mwaka 1984 hutolewa kwa Mwanamuziki au Muongozaji wa video kwa mchango wake mkubwa kwenye video za muziki na utamaduni.

Mwanamuziki Madonna ndiye mwanamke wa kwanza kushinda Tuzo hiyo huku Nicki Minaj akiwa mshindi kwa hivi karibu, ambapo alitunukiwa mwaka 2022.

Baadhi ya washindi wengine ni pamoja na marehemu Michael Jackson (1988), Janet Jackson (1990), Beyonce (2014), Kanye West (2015), Rihanna (2016), Missy Elliot (2019)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live