Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MSANII WA BABALEVO AFANYIWA UPASUAJI

Capture 519?fit=485%2C448 MSANII WA BABALEVO AFANYIWA UPASUAJI

Wed, 2 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msanii anaechipukia mziki nchini Tanzania mwanadada ‘Oti’ aliyetambulishwa mwishoni mwa wiki iliyopita na Babalevo ameripotiwa kuwa ni mgonjwa na amefanyiwa upasuaji kwa Appendix (Kidole tumbo).

Kupitia ukurasa wa kijamii wa Instagram wa BabaLevo amethibitisha kuumwa kwa mwanadada huyo nakuandika :

“Roho inaniuma Sana, maana wiki moja tangu tusain mkataba huu wa Kumsimamia Msanii Wangu @oti_tz_ mbele ya Mwanasheria, OTi amepatwa na shida ya Kupasuka kwa Appendix iliyompelekea jana kufanyiwa OPARETION. Eeeh Mungu Mlinde Mlimbwende Wangu.. @oti_tz_..” ameandika Baba Levo.

Oti ameachia ngoma yake mpya hivi karibuni inayojulikana kwa jina la “ONE TIME”.

Chanzo: zanzibar24.co.tz