Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MOBETTO:” Yani naskia bila mimi huwezi kabisa Mrs Fudenge”

141 Screen Shot 2017 12 13 At 4.32.06 PM 660x400.png TZW

Thu, 14 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz amezichukua tena headlines baada ya kupost picha katika ukurasa wake wa Instagram na kuandika caption zilizoleta gumzo kwa mashabiki lakini haijajulikana zimemlenga nani.

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz amezichukua tena headlines baada ya kupost picha katika ukurasa wake wa Instagram na kuandika caption zilizoleta gumzo kwa mashabiki lakini haijajulikana zimemlenga nani. Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha zake mbili katika post mbili tofauti na kuandika “Yani naskia bila Mimi huwezi kabisa….

Chanzo: millardayo.com