Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MC Gara B: Harmonize na Kajala wasipitishe mitano

Kajala Na Harmonize Mjadala Kajala na Harmonize

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshereheshaji wa shughuli za mastaa na watu mbalimbali MC Gara B amesema pete ya uchumba ya Harmonize na Kajala Masanja isipite zaidi ya miezi mitano wawe wameshaona.

MC Garab ameeleza hilo huku wataalam wa masuala ya mahusiano wakidai kuwa kwa asilimia kubwa wachumba wakishavalishana pete na kukaa muda mrefu bila ya kufunga ndoa mpaka pete kuozea kidoleni inakuwa ngumu kuoana tena.

Ikumbukwe kuwa, Harmonize na Kajala wamevalishana pete wiki mbili zilizopita baada ya mastaa hao kurudiana tena kufuatia mahusiano yao kuvunjika hapo awali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live