Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MAKUBWA! Gigy adai kumpa uroda Kiba na si Diamond

Gigy Money 2023 MAKUBWA! Gigy adai kumpa uroda Kiba na si Diamond

Sat, 26 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati jana akiisimimisha 'dunia' ya wambea Instagram kwa kusema ana vitu alivyofanya na Diamond na kumtishia Zuchu kuwa asije akavitoa ikiaminika ni ushahidi wa kimapenzi, ghafla Gigy amebadili uelekeo.

Gigy amefanya mahojiano na waandishi kadhaa usiku wa kuamkia leo Agosti 26, 2023 na kusema watu wasimuelewe vibaya kwamba labda ametoka na Diamond, hajawahi.

"Mimi sijawahi kutoka na Diamond msitake niseme uongo, msanii pekee niliyetoka naye ni Alikiba," alisema Gigy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live