Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lyyn: Diamond aliniposa tukaachana aliponisaliti

Lyyn Na Mondi Lyyn: Diamond aliniposa tukaachana aliponisaliti

Thu, 29 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo Lyyn ameweka bayana kwamba, aliwahi kuwa kwenye mahusiano serious na Diamond Platnumz hadi kufikia hatua ya kumposa.

Lyyn amesema, waliachana baada ya staa huyo kumsaliti kwani yeye hataki kusalitiwa.

“Tulikaa kwenye mahusiano kwma mwaka na nusu hivi. Wakati huo niko naye Diamond nilikuwa sijulikani. Alishakuja nyumbani kutoa posa lakini baadaye tuliachana aliponisaliti,” alisema Lyyn alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi FM.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live