Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lulu kaamua kufunguka ishu yake na Wema

90 1 660x400 Lulu kaamua kufunguka ishu yake na Wema

Mon, 8 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za Mwigizaji Elizabeth Michael a.k.a Lulu ambae time hii amefunguka mbele ya waandishi wa habari kuhusu ishu yake na Mwigizaji Wema Sepetu kutoelewana, hii imetokea baada ya kusambaa kwa mahojiano yaliyofanywa na Wema akimuuliza maswali Mama Kanumba juu ya kifo cha Mwanae.

Baada ya kufanya alichofanya na sijawahi kuonana nae wala kuongea nae, nakubali ndio nimemu unfollow mimi sio mtu mnafiki ni maamuzi yangu, kama yeye anahisi anahatia ni yeye lakini kwa upande wangu sikupenda alichokifanya’- Elizabeth Michael

‘Na Kwasasa nilivyokuwa na kazi zangu sijatafuta muda wa kuongea nae kabisa na wala sio kiki na wala sijatengeneza na mlivyoona ni hivyo hivyo’– Elizabeth Michael

LULU KAAMUA KUFUNGUKA ISHU YAKE NA WEMA “SIJAWAHI KUONGEA NAE, MIMI SIO MNAFIKI, SIJAPENDA”

LULU KAMJIBU MAMA KANUMBA ISHU YA KIFO CHA KANUMBA “NDIO MSALABA WANGU, NAPOKEA LAWAMA ZOTE”

Chanzo: millardayo.com