Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lulu achukua nafasi ya Mimi Mars

Mimi Mars Luluuu (1).jpeg Lulu achukua nafasi ya Mimi Mars

Sun, 7 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Maria (Mimi Mars) ameondolewa katika thamthilia ya Jua Kali na nafasi yake imechukuliwa na Elizabeth 'Lulu' Michael ambaye tayari ameanza kazi.

Muigizaji Maria (Mimi Mars) ameondolewa katika thamthilia ya Jua Kali na nafasi yake imechukuliwa na Elizabeth 'Lulu' Michael ambaye tayari ameanza kazi. Mtayarishaji wa tamthilia hiyo, Lamata ndiye ametoa taarifa hiyo ambayo imewashtua mashabiki wa Maria ambao walikuwa wanatarajia kurejea kwake hivi karibuni baada ya kupata ajali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live