Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lulu Diva akiri kujindunga sindano kutengeneza ngozi

Luludivatz 1695388857665.jpeg Lulu Diva akiri kujindunga sindano kutengeneza ngozi

Sat, 23 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva amekiri kuwa aliwahi kujindunga sindano za kutengeneza ngozi yake kuifanya iwe laini.

Diva amesema, alifanya jambo hilo baada ya ngozi yake kuharibika na kushauriwa kuchoma sindano hizo ambazo alitumia kwa takriban miezi sita.

"Nilitumia kama miezi sita hivi na ni sindano ya vitamini C tena vile vya asili, nilitumia kwa miezi sita ngozi yangu ikawa sawa nikaacha," alisema Lulu Diva.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live