Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lulu Diva aikana 'sauti ya kishirikina'

Lulu Diva Aikana 'sauti Ya Kishirikina'.jpeg Lulu Diva aikana 'sauti ya kishirikina'

Sat, 9 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva ameikana sauti iliyodaiwa kuwa ni yake akiwasiliana na mganga.

Diva ameikana sauti hiyo alipokuwa kwenye uzinduzi wa ngoma yake mpya aliyomshirikisha Nandy inayokwenda kwa jina la Mtaalam.

"Ile sauti siyo yangu na hata sijui ni ya nani. Sisi tulikuwa na wimbo wetu tumeufanya na tulipoisikia ile sauti tukaona ni wakati mzuri wa kuuachia," alisema Diva.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live