Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lulu Diva: Wema, Whozu wananiweka njia panda

Mainda Lulu Diva: Wema, Whozu wananiweka njia panda

Mon, 8 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva amesema kitendo cha wapendanao Wema na Whozu kugombana huwa kinamweka yeye mtegoni kwa sababu wote ni washkaji zake.

Lulu amesema, wawili hao huwa anawashauri kwa nyakati tofauti lakini suala la kuweka sawa tofauti zao linabaki kwao wenyewe.

"Mimi nikiwa na Whozu naweza kumuambia acha hiki acha kile, nikiwa na Wema pia naweza kumshauri hivi na vila lakini kwa kuwa wao ni watu wazima, wenyewe ndio wenye maamuzi kuhusu mahusiano yao," alisema Lulu Diva.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live