Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau wapata ajali

Maxresdefault 1 2 660x400 Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau wapata ajali

Mon, 7 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Alfajiri ya leo September 7, 2020 Wasanii wa Bongofleva Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau wamepata ajali ya gari Chalinze Pwani wakiwa safarini kuelekea Dar es salaam.

Alfajiri ya leo September 7, 2020 Wasanii wa Bongofleva Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau wamepata ajali ya gari Chalinze Pwani wakiwa safarini kuelekea Dar es salaam. Lulu Diva ambae ameongea na simu kwa tabu amethibisha taarifa hizo kwa kusema ‘Ni kweli tumepata ajali Chalinze, tulikua tunaendeshwa, mimi nimeumia kichwani nimevimba ila Belle 9 kaumia zaidi jamani amewaishwa Hospitali, Bonge la Nyau kaumia ila kiasi, mimi niko Polisi kuchukua Pf3 kisha nimfate Belle 9 Hospitali”.

Chanzo: millardayo.com