Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lukamba ahamia kwenye filamu

Lukamba Er Lukamba ahamia kwenye filamu

Fri, 21 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Alikuwa mpiga picha wa Diamond Platnumz Lukamba ametangaza kuzindua APP yake rasmi ambayo inaitwa LUKASH NET, Kupitia mitandao yake ya kijamii Lukamba ameeleza namna APP hiyo itakavyokuwa inafanya kazi na wapi itakuwa inapatikana.

Alikuwa mpiga picha wa Diamond Platnumz Lukamba ametangaza kuzindua APP yake rasmi ambayo inaitwa LUKASH NET, Kupitia mitandao yake ya kijamii Lukamba ameeleza namna APP hiyo itakavyokuwa inafanya kazi na wapi itakuwa inapatikana. Ikumbukwe Lukamba miezi kadha anyuma alitangaza kuacha kufanya kazi na Diamond na kufungua ofisi yake ya Imagix media, sasa maetangaza kufungua APP ambayo itakuwa maalumu kwa ajili ya kuweka Filamu mbalimbali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live