Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lukamba afunguka madai ya kumroga Diamond

Diamond Na Lukamba Lukamba afunguka madai ya kumroga Diamond

Thu, 22 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond, Lukamba amesema, watu walikuwa wakisema anamroga staa huyo wa Bongo Fleva kwa sababu tu ya kuwa anasafiri naye.

Lukamba alisema, kutokana na kazi yake ya kupiga picha, alikuwa akisafiri sana na Diamond ndipo watu wakaanza kuzusha habari kuwa anamroga Diamond.

“Mimi nilikuwa nasafiri kwenda kufanya kazi sasa wao walikuwa wanaumia ndio wakazusha hizo habari za kwamba namroga,” alisema Lukamba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live