Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lukamba adai kuibiwa Mil. 200

Lukambaaaaa Lukamba adai kuibiwa Mil. 200

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lukamba ameeleza sababu ya kukaa kimya bila kutoa wimbo amesema kuwa ametapeliwa tsh 200 milioni.

Lukamba kupitia Instastory yake ameandika ujumbe akidai kuwa ametapeliwa milioni 200, na amewasilisha malalamiko yake katika vyombo vya sheria na BASATA.

Hata hivyo msanii huyo amesema hivi karibuni ataachia wimbo wake mpya wa ‘Hela’.

Ikumbukwe hivi karibuni wasanii @diamondplatnumz na @harmonize_tz nao walidai kutapeliwa. Je unafikiri ni kwanini siku hizi wanamuziki wanadai kutapeliwa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live