Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lukamba: Hakuna mwanamke anayeweza kunilea

Lukamba Er Lukamba: Hakuna mwanamke anayeweza kunilea

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Birthday Boy Lukawise @lukambaofficial anasema hakuna mwanamke anaweza kumlea yeye kwani ana matumizi makubwa sana kwahiyo mdada anaedhani anaweza kumlea ajui tu hilo jambo haliwezekani kwani akijaribu anaweza kuchanganyikiwa.

Birthday Boy Lukawise @lukambaofficial anasema hakuna mwanamke anaweza kumlea yeye kwani ana matumizi makubwa sana kwahiyo mdada anaedhani anaweza kumlea ajui tu hilo jambo haliwezekani kwani akijaribu anaweza kuchanganyikiwa. Lukamba anasema kwa siku matumizi yake yanafikia kiasi cha Milioni 5 mpaka Milioni 6 pesa ya Tanzania, anasisitiza kuwa pesa hiyo sio kwenye upande wa kula tu bali anajumlisha mpaka kwenye uwekezaji kwenye biashara zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live