Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Love nwantiti" ya Ckay yaendelea kuandika rekodi za Dunia

C Kay "Love nwantiti" ya Ckay yaendelea kuandika rekodi za Dunia

Thu, 19 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kilichobaki kwa sasa ni kuendelea kuhesabu tu idadi ya rekodi ambazo CKay ataendelea kuziweka kupitia wimbo wake (Love Nwantiti) ambao ulitoka mwaka 2020.

Kwa mujibu wa Recording Industry Association of America (RIAA), wimbo huo umegonga Platinum 4 yaani umeuza zaidi ya nakala Milioni 4.

Mkali huyo toka ardhi ya Nigeria, January 11 mwaka huu aliandika rekodi nyingine kubwa ambapo wimbo huo ulitajwa namba 1 kwenye orodha ya nyimbo za Kiafrika zilizouza zaidi nchini Marekani mwaka 2022, ukiingiza zaidi ya ($1.6 million) zaidi ya TSh. Bilioni 3.7

Chanzo: www.tanzaniaweb.live