Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Listi ya Akunti za Mastaa zilizoporwa Blue Tick

Beyonce X Ronaldo Listi ya Akunti za Mastaa zilizoporwa Blue Tick

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtandao wa Twitter usiku wa kuamkia leo umepitisha fagio na kuziondoa blue ticks kwenye akaunti za watu maarufu duniani.

Mpango huo umetekelezwa na mmiliki mpya wa mtandao huo, Elon Musk ambaye alitangaza hadi kufikia April 20, 2023 ataondoa utambulisho huo kwenye akaunti zote tayari kwa zoezi la kulipia huduma hiyo kuanza.

Tumekuwekea baadhi ya akaunti za watu maarufu duniani wakiwemo Wanamuziki, viongozi wa serikali na dini.















Chanzo: www.tanzaniaweb.live