Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Linex kugeukia Muziki wa Injili

Linex Pic Data Linex

Thu, 12 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huku baadhi ya wasanii wa bongo ‘fleva’ wakiendelea kutoa nyimbo za amapiano kwa upande wa mwanamuziki linex sunday mjeda imekuwa tofauti baada ya kueleza kuwa kwa sasa anataka kuanza kuimba nyimbo za injili.

Linex kupitia Instastory yake ame-share ujumbe akieleza kuwa kwa sasa anaanza kumuimbia Mungu kabla ya mwaka haujaisha atatoa ‘albamu’ ya nyimbi za injili hivyo basi anaamini kabisa kuwa sauti yake itapendeza kuimba nyimbo hizo huku akiahidi kuwa injili atakayoimba haijawahi kutokea.

Ikumbukwe tuu mwamba huyo alitamba na vibao kama Aifola, Moyo wa subira na Salima aliomshirikisha Diamond huku wimbo wa mwisho kuutoa ni siku 12 zilizopita alioupa jina la ‘Mama Samia/Amkeni’

Chanzo: www.tanzaniaweb.live