Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lillian Mwasha, Masanja waondoka Wasafi FM

Masanja Mwasha.jpeg Lillian Mwasha, Masanja waondoka Wasafi FM

Sat, 18 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Mtangazaji wa kipindi cha dini @lillianmwasha_ kuweka wazi kuwa ameondoka Wasafi media na kujiunga na Efm alikutana na @el_mando_tz na kullizwa kuhusu hilo.

@lillianmwasha_ ameondoka na @mkandamizaji wote wameanzisha kipindi kipya Efm na wamemchukua Mchungaji @hananja.r atajiunga nao.

@lillianmwasha_ amezungumza hilo wakati anazindua kitabu chake cha Darling Listen.

Mbali na hilo @majizzo amethibitisha hilo mbele ya Waziri @nape_nnauye

Chanzo: www.tanzaniaweb.live