Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lili Wayne apiga zaidi ya Kolabo 100 kwa Mwaka

Lil Wyne Kollabo Lil Wayne

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa kutoka Marekani, Lil Wayne amekiri kwamba mwaka 2007 alishirikishwa kwenye ngoma zaidi ya 100, kiasi ambacho akiwasha redio kwenye gari lake, redio yoyote anayoweka basi lazima akutane na sauti yake!

Rapa kutoka Marekani, Lil Wayne amekiri kwamba mwaka 2007 alishirikishwa kwenye ngoma zaidi ya 100, kiasi ambacho akiwasha redio kwenye gari lake, redio yoyote anayoweka basi lazima akutane na sauti yake! Lil Wayne ni miongoni mwa marapa wachache waliofanya Kolabo na wasanii wengi Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live