Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lil Wayne ataja sababu ya watu kumchukia Drake

Drake X Wayne Lil Wayne ataja sababu ya watu kumchukia Drake

Thu, 25 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Lil Wayne amefunguka sababu ambazo ana uhakika kwanini watu wengi wanamchukia Drake. Wizzy alisimamishwa kwenye mahojiano na Podcast ya The Richard Sherman ambapo alisema, ni kutokana na rangi ya ngozi yake (light-skinned) ambapo watu wa muonekano huo huchukiwa na watu weusi.

Rapa Lil Wayne amefunguka sababu ambazo ana uhakika kwanini watu wengi wanamchukia Drake. Wizzy alisimamishwa kwenye mahojiano na Podcast ya The Richard Sherman ambapo alisema, ni kutokana na rangi ya ngozi yake (light-skinned) ambapo watu wa muonekano huo huchukiwa na watu weusi. Lil Wayne alienda mbali zaidi na kusema hiyo inaenda hadi kwenye historia ya Marekani ambapo hata kipindi anasoma, alikuwa akiwachukia watu wenye mionekano ya namna hiyo (Light-Skinned)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live