Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lil Wayne, Nick Minaj kimeumana

Wayne X Minaj Lil Wayne, Nick Minaj kimeumana

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wamekuja juu na kuhoji kwanini Lil Wayne ametangaza kuachia Album yake tarehe moja na Nicki Minaj?

Miezi kadhaa iliyopita, Nicki Minaj alitangaza kuwa Album yake mpya “Pink Friday 2” itatoka Novemba 17 mwaka huu, tarehe ambayo pia Lil Wayne ameitangaza kuwa pamoja na 2 Chainz wataachia Album yao “ColleGrove. ColleGrove 2”

Kitendo cha Lil Wayne kumpandishia Nicki Minaj kimetafsiriwa tofauti na wadau wa Muziki hasa mashabiki wa Cash Money / Young Money wakihoji urafiki wao na uhusiano wao kama bado upo sawa.

Ni upi mtazamo wako?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live