Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lil Wayne: Mimi ndio muanzilishi wa Tattoo za usoni

Attachment Lil Wayne Lil Wayne

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapper kutoka nchini Marekani Lil Wayne amedai kuwa anaamini yeye ndiye sababu kubwa ya watu wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye nyuso zao, ameeleza hayo kupitia moja ya mahojiano nchi humo.

Rapper kutoka nchini Marekani Lil Wayne amedai kuwa anaamini yeye ndiye sababu kubwa ya watu wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye nyuso zao, ameeleza hayo kupitia moja ya mahojiano nchi humo. Lil Wayne amekuwa akichora tatto ambazo kila mchoro una maana yake mfano mchoro wa herufi “C” juu ya macho yake inawakilisha herufi ya ya jina la Mama yake “Jacida Carter.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live