Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lil Tjay amnunulia mpenzi wake saa ya Mil. 350 zawadi ya Valentine

Lil Tjay Amnunulia Mpenzi Wake Saa Ya Mil. 350 Zawadi Ya Valentine Lil Tjay amnunulia mpenzi wake saa ya Mil. 350 zawadi ya Valentine

Thu, 16 Feb 2023 Chanzo: Bbc

Unaambiwa Rapa Lil Tjay amemnunulia Ice Spice saa aina ya Richard Mille RM-05 Rose Gold yenye Thamani ya $150K zaidi ya Tsh.Milioni 350 kama zawadi ya Valentine.

Unaambiwa Rapa Lil Tjay amemnunulia Ice Spice saa aina ya Richard Mille RM-05 Rose Gold yenye Thamani ya $150K zaidi ya Tsh.Milioni 350 kama zawadi ya Valentine. Wawili hao wamekuwa wakihusishwa kuwa na mahusiano licha ya wao kutokuthibitisha hilo ila vitu vingi ambavyo wamekuwa wakivifanya pamoja vinaonesha kuwa ni Wapenzi.

Chanzo: Bbc