Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Licha ya kudai kumwagana, Wolper na Rich Mitindo waongozana Kanisani

Wolper Mitindo A0010 Licha ya kudai kumwagana, Wolper na Rich Mitindo waongozana Kanisani

Wed, 3 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku ya juzi Jumatatu ya Pasaka muigizaji wa Bongo Movie na mfanyabiashara Jackline Wolper walifanikiwa kushiriki ibada ya kumbatiza mtoto wao wa pili wa kike.

Licha ya wawili hao hivi karibuni kudai kuwa wamevurugana na ndoa yao ni kama haipo na kwamba kwa sasa wanalea tu watoto wao, lakini kupitia ukurasa wa Instagram wa Wolper, ameshea picha na kusindikiza na maneno haya;

"Asante Mungu siku ya leo Nilikua Nikiisubri kwa hamu sana Bint yetu kwenda kuwa mkristo wa kweli Bi Mzuri Paris Richard 100 #Mungu akutunze sana kipenzi we love u so Much mom."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live