Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lavalava: Tulipishana na Diamond

Diamond Lavalava Lavalava: Tulipishana na Diamond

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Wa Muziki Wa Bongo Fleva Kutoka Kwenye Rekodi Lebo Ya @wcb_wasafi Amefunguka Siri Ya Kutoa Hit Songs Kama #Tajiri

Amesema Yeye Huwa Hana Mashaka Kwenye Uchaguzi Wa Nyimbo Pale Ambapo Anataka Kutoa Lakini Pia Amekuwa Akibishana Mara Kadhaa Na Simba ( Diamondp latnumz) Kwenye Uchaguzi Wa Nyimbo Ipi Itoke Na Ipi Isitoke.

"Mimi Ni Msanii Ambae Sitoi Nyimbo Mara Kwa Mara, Kwaiyo Siku Nikitoka Wimbo Najuaga Ile Attention Inayokuwaga Na Sinaga Mashaka Kwenye Uchaguzi Wa Nyimbo. Chakwanza Huwa Nachagua Wimbo Ambao Utaendana Na Jamii Kwa Wakati Huo, Unaweza Kuona Kama #Tajiri Ulikuwa Msemo Mtaani , Mimi Nikaufanya Ukawa Mkubwa Zaidi"

"Kwenye Kuandika Hit Songs Sio Kitu Rahisi, Lakini Pia Hiyo Hit Ina Matokea Ya Mungu, Unatoa Wimbo Unaamini Huu Mkubwa Na Mungu Anatoa Baraka Zaidi" @iamlavalava

Chanzo: www.tanzaniaweb.live