Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lavalava: Sio kitu rahisi kwangu kujumuika na Wasanii wengine

Lavalava B.jpeg Lavalava: Sio kitu rahisi kwangu kujumuika na Wasanii wengine

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa BongoFleva Lavalava awajibu watu wanaosema kuwa anajitenga na yupo kimya tofauti na wasanii wengine.

Akizungumza na moja ya chombo cha habari nchini msanii huyo ameeleza kuwa imekuwa ngumu sana yeye kujumuika na wasanii wengine na kujiweka katika mazingira ambayo watu wengi wanatamani kuona akiyaishi kutokana na sababu zake binafsi.

Lavalava amesema kuwa pamoja na ukimya wake na kutojumuika na wasanii wengine anajivunia kuwa akitoa wimbo una ‘hit’ na anadai haimpi shida yoyote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live