Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lavalava: Ni ngumu ku-perform baada ya Diamond

Diamond Lavalava Lavalava: Ni ngumu ku-perform baada ya Diamond

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Lavalava na dj wake Dj Juk wamesema kupanda jukwaani kutumbuiza baada ya diamond kushuka ni kazi ngumu sana kwani watu wengi wanaamini baada ya kupanda Diamond Platnumz inakuwaga mwisho wa shoo.

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Lavalava na dj wake Dj Juk wamesema kupanda jukwaani kutumbuiza baada ya diamond kushuka ni kazi ngumu sana kwani watu wengi wanaamini baada ya kupanda Diamond Platnumz inakuwaga mwisho wa shoo. "Asikwambie mtu kitu kupanda kwenye stage baada ya Diamond kushuka ni kama mchezo wa bahati nasibu umeona mimi leo Diamond ameniamini na kuniambia nipande baada ya yeye nimepanda na nineuwa wasanii wengi wanaogopa," alisema Lavalava na Dj wake Juk.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live