Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lava Lava awashukuru wasanii nje ya wasafi

Lavalava B.jpeg Lava Lava awashukuru wasanii nje ya wasafi

Sat, 10 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Lava Lava ametoa shukrani kwa baadhi ya wasanii ambao wamemtafuta na kumpongeza baada ya kuachia ngoma zake mbili.

#LavaLava kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share ujumbe wa kutoa shukrani ambapo ameeleza kuwa ni mara ya kwanza kwa wasanii wenzake nje ya Wasafi kusifia project ya ngoma zake mbili alizoziachia.

Siku ya jana Februari 9 Lava Lava aliachia nyimbo mbili ambazo ni ‘Sawa’ na ‘Pambe’ mpaka kufikia sasa wimbo wa ‘Sawa’ unazaidi ya watazamaji elfu tisa huku wimbo wa ‘Pambe’ ukiwa na wasikilizaji elfu 24 kwenye mtandao wa #Youtube.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live