Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lamata: Sitaki mwanangu atembeze bahasha kuomba kazi

Lamata (600 X 337) Lamata: Sitaki mwanangu atembeze bahasha kuomba kazi

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: rick media

Producer wa Filamu ya Jua Kali lamata leah amesena kuwa atahakikisha mtoto wake wa lime aitwaye "Kingstone" pindi atakapo kuwa mtu mzima awe anajihusisha na Filamu"

Lamata ameongeza kusema kuwa hatapenda mtoto wake aje kuhangaika na bahasha kutafuta kazi huku na kule kwani tayari yeye amekwisha wekeza sana kwenye tasnia ya filamu.

View this post on Instagram

A post shared by Rick Media News (@rickmedianews)

Chanzo: rick media