Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lamata: Kajala aliniunganisha na P-Funk haikuwa rahisi

Lamata Mlkajalaa Lamata: Kajala aliniunganisha na P-Funk haikuwa rahisi

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: rick media

Mtayarishaji wa Filamu lamata Leah amefungukuka kuwa kajala ndiye aliyemsaidia kumpata P Funk Majani kwenye tamthilia ya Jua Kali.

Lamata anasema kuwa haikuwa kazi rahisi kumshawishi Mkongwe huyo kushiriki kwenye tamthilia hiyo na anaangalia kumtumia tena kwenye Tamthilia

Lakini pia Lamatha amefunguka kumshawishi harmonize kuingia kwenye Filamu.

View this post on Instagram

A post shared by Rick Media News (@rickmedianews)

Chanzo: rick media