Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Laizer asimulia walivyomtapeli Marioo

Laizer Asimulia Walivyomtapeli Marioo Laizer asimulia walivyomtapeli Marioo

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtayarishaji wa muziki ambaye anafanyakazi na Nasibu Abdul 'Diamond', Siraju Hamisi maarufu kama 'Laizer' amefunguka namna walivyomtapeli Marioo.

Alisema kuwa, kuna kipindi studio ya Wasafi ilitoa ofa kwa wasanii kutoka nje ya lebo hiyo kurekodi nyimbo na ndio staa huyo wa sasa alijitokeza.

"Mtu aliyekuwa anasimamia wasanii ndio aliniambia nirekodi lakini nje ya studio ya Wasafi, sasa ikawa kila boss akiwepo tunamrudisha hivyo yani," alisema Laizer.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live