Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lady Jaydee amchangia Prof Jay Mil. 2

Lady Jaydee Amchangia Prof Jay Mil. 2 Lady Jaydee amchangia Prof Jay Mil. 2

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Malkia wa nguvu Lady Jaydee ametoa ahadi ya Tsh Milioni 2 ili kujazia Tsh milioni 3 waliyoahidi Gabo Zigamba, JB na Batuli ili ifike Milioni 5 ambayo wataikabidhi kwa pamoja.

Malkia wa nguvu Lady Jaydee ametoa ahadi ya Tsh Milioni 2 ili kujazia Tsh milioni 3 waliyoahidi Gabo Zigamba, JB na Batuli ili ifike Milioni 5 ambayo wataikabidhi kwa pamoja. Tukio hilo lilifanyika jana Desemba 10, 2023 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar wakati Prof Jay alipokuwa akizindua taasisi yake ya ProfessorJayFoundation ambayo ina lengo la kuwatibu wagonjwa wa figo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live