Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lady Jaydee: Uzee niliuacha Shinyanga, mjini naitwa Baby

LADY JAYDEE H Lady Jaydee: Uzee niliuacha Shinyanga, mjini naitwa Baby

Mon, 25 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki mkongwe nchini Lady Jaydee anayezidi kutamba na kibao chake cha ‘Mambo Matano’, katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video na kuandika ujumbe akisema uzee aliuacha Shinyanga huku mjini anaitwa baby, huku akiwataka watu wafanye diet ili waache kumtusi.

Jaydee ameandika;

“basi jeraaaaaas zitaacha ku-enjoy weekend na kuanza kuniita mzee, uzee niliuacha Shinyanga, hapa Dar naitwa Beibee fanyeni diet ili muache kunitusi.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live