Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lady Jay Dee: Naogopa kujibu wagonjwa

Lady Jay Dee Mwanamuziki mkongwe nchini Lady Jaydee

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter) mwanadada mkongwe kwenye kiwamda cha muziki @jidejaydee ameandika ujumbe kuhusu watu waliotafsiri post yake ya jana vibaya kuhusu kutojiingiza kwenye janga la Unga (madawa ya kulevya)

Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter) mwanadada mkongwe kwenye kiwamda cha muziki @jidejaydee ameandika ujumbe kuhusu watu waliotafsiri post yake ya jana vibaya kuhusu kutojiingiza kwenye janga la Unga (madawa ya kulevya) “Najiepusha kujibu wagonjwa. Lolote likitokea nitalaumiwa nimeua watu kwa depression. Naona na mabwana zao wameingilia kunichangia. Jamani mi nilimshukuru Mungu wangu ila sikujua hairuhusiwi hadharani. Basi next time nitamshukuru kisirisiri. #Hakuna” ~ Jide

Chanzo: www.tanzaniaweb.live