Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lady Jay Dee: Namshukuru mungu kuniepusha na unga

Lady Jay Dee Mwanamuziki mkongwe nchini Lady Jaydee

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia mtandao wake wa X (Twitter) malkia wa muziki wa Bongo Fleva Lady Jay Dee amemshukuru Mungu kuweza kuyakabili mapito yake ya maisha aliyoyapitia bila kutumia madawa ya kulevya 'Unga'.

Ameandika:

"Nashukuru Mungu alinipa ujasiri wa kukabili mapito yangu bila kuingia kwenye biashara za kula Unga na kuanza kumlaumu kila mtu. Lord i thank you"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live