Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE:Nandy kairudisha "Nandy Festival" mikoa saba kupata burudani, Kenya yatajwa

Screen Shot 2021 05 11 At 2.14.39 PM 660x400.png LIVE:Nandy kairudisha "Nandy Festival" mikoa saba kupata burudani, Kenya yatajwa

Tue, 11 May 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Msanii kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae leo amekutana na waandishi wa habari na kuzungumza kuhusu kuirudisha tamasha lake alilolipa kwa jina la Nandy Festival.

Kwa mujibu wa msanii huyo anasema tamasha la Nandy Festival linaanzia mkoani Kigoma ambapo wakazi wa mkoani hapo watapata burudani mnamo tarehe 5 mwezi wa sita mwaka huu 2021 na akaongezea  Nairobi & Mombasa kuwa sehemu ya zitakazopata shangwe za burudani hizo

‘Mkoa wa kwanza ni Kigoma ambayo itakuwa ni tarehe 5 mwezi wa sita kama ilivyokuwa ada nitashirikiana na wasanii wenzangu, na Kenya pia tutawafikia namaanisha Nairobi na Kampala’- Nandy

Chanzo: millardayo.com