Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kylie akiri kufanya upasuaji wa matiti - VIDEO

Kyliejenner 1690454157075.jpeg Kylie akiri kufanya upasuaji wa matiti

Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: Radio Jambo

Baada ya kukanusha kwa muda mrefu kila alipoulizwa kuwa amefanya upasuaji "Surgery" ya matiti, hatimaye mrembo na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani @kyliejenner amekiri wazi kuwa alifanya upasuaji huo alipokuwa na umri wa miaka 20 na anajutia kufanya hivyo wala hatamani binti yake aje kufanya hivyo.

Kwenye kipindi chao cha "The Kardashian" @kyliejenner alikuwa akimwambia rafiki yake kuwa "Nilifanya upasuaji "Surgery" ya matiti kabla ya kumpata Binti yangu Stormi nilipokuwa na miaka 20 kabla sijampata Stormi na wala sikuwa nafikiria kuwa nitakuwa na mtoto,najutia sana kufanya hivyo natamani ningebaki na matiti yangu ya asili,na kama kuna mtu anafikiria kufanya hivyo napendekeza asubiri mpaka apate watoto."

Kylie aliendelea kwa kusema "Nina mtoto wa kike pia na mrembo sana nitaumia sana moyo kama akitaka kufanya kama nilichokifanya katika umri mdogo, natamani kuwa mama mzuri kwake na niwe mfano kwake."

View this post on Instagram

A post shared by Infotainment Chamber (@rickmediatz)

Chanzo: Radio Jambo