Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kylie Jenner ndiye aliyebeba mimba ya Kim Kardashian?

1453 Kimmm TZW

Thu, 18 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Dunia ina  mambo! Mashabiki wameibuka na kudai kuwa m Kylie Jenner ndio mbeba mimba ya tatu ya  Kim Kardashian.



Hii ni baada ya mashabiki kudai kuwa walimuona Kylie hospitali wiki moj iliyopita alielekea Hospitali huku tumbo lake likionekana kuwa kubwa kama mtu anayetarajia kujifungua. Na hapo jana wanapata habari kuwa Kim na Kanye wamefanikiwa kupata mtoto watatu.

Kupitia mtandao wa Twitter hivi ndivyo mashabiki walivyoonyesha hisia zao:







Mwaka 2017 Kylie alidaiwa kuwa na mimba ya rapper Travis Scott, baada ya kuachana na rapper Tyga ambaye alikuwa mpezi wake wa muda mrefu kidogo.

Chanzo: bongo5.com