Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kylie Jenner aungwa mkono na Shirika la Israel

 Kylie Jenner Kylie Jenner aungwa mkono na Shirika la Israel

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: Dar24

Baada ya baadhi ya watu kuchukiza na kitendo cha mfanyabiashara Kylie Jenner kwa kuonekana akiiunga mkono nchi ya Israel hatimaye amepata utetezi kutoka kwa mashirika ya nchi hiyo.

Baada ya baadhi ya watu kuchukiza na kitendo cha mfanyabiashara Kylie Jenner kwa kuonekana akiiunga mkono nchi ya Israel hatimaye amepata utetezi kutoka kwa mashirika ya nchi hiyo. Roz Rothstein, mwanzilishi mwenza na Mkurugenzi Mtendaji wa Stand With Us, kwenye mahojiano aliyofanya na TMZ ameeleza kuwa shirika hilo limefurahishwa sana na kitendo alichokifanya mwanadada huyo kwa sababu alikuwa ni mtu maarufu pekee aliyeonesha kuunga mkono taifa hilo.

Chanzo: Dar24