Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwisa: D Voice hakuna kitu

IMG 6325.jpeg Kwisa: D Voice hakuna kitu

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Promotion ya D Voice imekuwa kubwa kuliko uwezo wa msanii mwenyewe, yeye ndiye msanii pekee aliyetambulishwa kwa ukubwa kuliko wasanii wote waliowahi kujiunga wasafi, lakini kwa jinsi alivyotumbuiza siku ya utambulisho na ikiwa hatajiongeza basi hamna kitu"

"Promotion ya D Voice imekuwa kubwa kuliko uwezo wa msanii mwenyewe, yeye ndiye msanii pekee aliyetambulishwa kwa ukubwa kuliko wasanii wote waliowahi kujiunga wasafi, lakini kwa jinsi alivyotumbuiza siku ya utambulisho na ikiwa hatajiongeza basi hamna kitu" "Ukiangalia nyimbo zake zinazofanya vizuri sasa hivi ni zile alizowashirikisha kina Zuchu, Mbosso, Lavalava na Diamond Platnumz lakini hakuna wimbo alioimba peke yake unaofanya vizuri hii inaonyesha bado hana uwezo na hata hizo nyimbo zinafanya vizuri kwasababu ya hao wasanii wengine sio yeye. Tumpe muda labda atafanya vizuri huko mbeleni saivi bado ni mapema sana"- Kwisa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live